www.tamisemim.go.tz Open in urlscan Pro
102.223.7.56  Public Scan

Submitted URL: https://www.tamisemim.go.tz/index.php/component/users/profile?Itemid=101
Effective URL: https://www.tamisemim.go.tz/index.php/component/users/?view=login&Itemid=101
Submission: On September 07 via manual from LV — Scanned from DE

Form analysis 2 forms found in the DOM

POST /index.php/component/users/?Itemid=101

POST /index.php/component/users/?task=user.login&Itemid=101

<fieldset>

Username *

Password *

Log in

Forgot your password?

Forgot your username?

Don't have an account?

</fieldset>

Text Content

* mwanzo
* Kuhusu sisi
* Historia
* Dira Na Dhamira
* majukumu

* Utawala
* Uongozi wa Wizara
* taasisi/Idara
* Idara ya Utumishi na Uendeshaji
* Idara ya Mipango, Sera na Utafiti
* Idara ya Uratibu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
* MAJUKUMU YA IDARA
* ELIMU

* Ofisi kuu Pemba

* Wakala wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar
* Idara ya Uratibu Idara Maalum
* Tume ya Utumishi ya Idara Maalum
* OFISI YA MRAJIS WA JUMUIYA ZISIZO ZA KISERIKALI

* Tawala za mikoa
* Muundo wa Mikoa
* Muundo wa serikali za mitaa

* Kituo cha Habari
* Hotuba na Bajeti
* Sera, Sheria na Machapisho
* Maktaba ya Picha
* Maktaba ya Video

* wasiliana nasi
* Idara Maalum
* Kikosi cha Zimamoto na Uokozi
* Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU)
* Kikosi cha Kuzuia Magendo (KMKM)
* Chuo cha Mafunzo
* Kikosi cha Valantia

* mwanzo
* Kuhusu sisi
* Historia
* Dira Na Dhamira
* majukumu
* Utawala
* Uongozi wa Wizara
* taasisi/Idara
* Idara ya Utumishi na Uendeshaji
* Idara ya Mipango, Sera na Utafiti
* Idara ya Uratibu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
* MAJUKUMU YA IDARA
* ELIMU
* Ofisi kuu Pemba
* Wakala wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar
* Idara ya Uratibu Idara Maalum
* Tume ya Utumishi ya Idara Maalum
* OFISI YA MRAJIS WA JUMUIYA ZISIZO ZA KISERIKALI
* Tawala za mikoa
* Muundo wa Mikoa
* Muundo wa serikali za mitaa
* Kituo cha Habari
* Hotuba na Bajeti
* Sera, Sheria na Machapisho
* Maktaba ya Picha
* Maktaba ya Video
* wasiliana nasi
* Idara Maalum
* Kikosi cha Zimamoto na Uokozi
* Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU)
* Kikosi cha Kuzuia Magendo (KMKM)
* Chuo cha Mafunzo
* Kikosi cha Valantia

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum
za SMZ Mh Masoud A. Mohammed akagua ujenzi wa Soko la Darajani linalotarajiwa
kufunguliwa baada ya wiki moja
Mh. Mudrik Ramadhan Suraga akifungua hafla ya ufunguzi wa kiwanda cha
utengenezaji wa Fiber za Kikosi cha Kikosi cha Kuzuia Magendo KMKM
Waziri wa OR-TMSMIM Mhe. Masoud Ali Mohammed, amesema ujenzi wa kituo cha
matibabu ya dharura na maabara katika hospitali ya Wilaya Makunduchi, itapunguza
masafa ya kufata huduma muhimu nje ya kijiji hicho.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah, amelipongeza
Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU) kwa kuwapatia elimu ya ufundi na stadi za
maisha vijana, ambao itawawezesha kujitegemea katika maisha yao ya baadae.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni amewatoa hofu wananchi wa Zanzibar
kuwa Jeshi la Polisi liko macho katika kupambana na vitendo vya uhalifu,
udhalilishaji na masuala yanayowahusu wageni wanaoingia nchini.
Waziri wa OR-TMSMIM Mh. Masoud Ali Mohammed, amesema Serikali itaendelea
kuthamini mchango unaotolewa na vijana wa kujenga Taifa katika ujenzi wa miradi
ya Maendeleo hapa nchini.
Waziri wa OR-KSUU Mhe Haroun Ali amesema kufanyika kwa mapinduzi ya mwaka 1964,
ni kwa ajili ya kuwawezesha wananchi kujitawala na kuishi kwa amani na utulivu.
Waziri OR-TMSMIM Mh, Masoud Ali Mohammed akitembelea Jaa la muwekezaji
linalokusanya taka za Hotelini katika eneo la Matemwe Wilaya ya Kaskazini ‘A’
Waziri wa Nchi OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
Mhe. Massoud Ali Mohammed amewataka wasimamizi wa ujenzi wa masoko kuhakikisha
kuwa ujenzi huo unafanyika kwa haraka kwa vile fedha za uijenzi huo
zimeshatolewa.
Waziri wa OR-TMSMIM Mh. Massoud A. Mohammed akifungua mafunzo ya miezi sita ya
ushoni kwa wafanyakazi wa Kiwanda cha Idara Maalum za SMZ.
Waziri wa OR-TMSMIM Mh. Massoud A. Mohamed akifungua mafunzo ya kuwawezesha
maafisa Mipango wa ORTMSMIM kutafuta fursa za kuwavutia wawekezaji katika maeneo
yao.
Kamati ya kusimamia Afisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi
ilipokuwa ikipokea Ripoti ya utekelezaji wa MIradi ya OR-TMSMIM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum
za SMZ Mh. Masoud Ali Mohammed akitembelea miradi ya maendeleo katika Shehia ya
Fuoni Kipungani na Fuoni Migombani Wilaya ya Magharibi B
Waziri wa Nchi OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
Mhe. Massoud Ali Mohammed amewataka Maafisa wa kikosi cha Zimamoto na Uokozi
waliokabidhiwa dhamana kusimamia nidhamu
Waziri OR-TMSMIM Mh. Masoud Ali Mohammed amewataka watendaji wa Manispaa
Magharibi A kusimamia vyema vituo vya kukusanyia taka
Waziri OR-TMSMIM Mh. Masoud Ali Mohammed akiwavisha vyeo Maafisa Waandamizi wa
Idara Maalum za SMZ
Makamo wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango akiwa
pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi
Liberata Mulamula na Waziri wa OR-TMSMIM Mh. Massoud A. Mohammed katika Mkutano
wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Nchini Marekani.
Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji na Utumishi wa OR-TMSMIM akifungua Mafunzo ya
mfumo wa E-Office kwa Maafisa Tehama, Utumishi na Masjala kwa Taasisi za
OR-TMSMIM yaliyofanyika Vuga Tarehe (9/09/2022)
Ghafla ya utiaji saini kwa Makamanda Wakuu wa Vikosi vya SMZ kuhusu ujenzi wa
Masoko Mkoa wa Mjini Magharibi
Ghafla ya utiaji saini kwa Makamanda Wakuu wa Vikosi vya SMZ kuhusu ujenzi wa
Masoko Mkoa wa Mjini Magharibi
Makabidhiano ya kazi ya ujenzi wa masoko Mkoa wa Mjini Magharibi kwa Vikosi vya
Idara Maalum za SMZ
Makabidhiano ya kazi ya ujenzi wa masoko Mkoa wa Mjini Magharibi kwa Vikosi vya
Idara Maalum za SMZ
Makabidhiano ya kazi ya ujenzi wa masoko Mkoa wa Mjini Magharibi kwa Vikosi vya
Idara Maalum za SMZ
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum
za SMZ Mh. Masoud Ali Mohammed Akizungumza na Kamishna wa Jeshi la Polisi
Zanzibar Hamad Khamis Hamad alipokwenda kujitambulisha Ofisini kwake Vuga.
Waziri OR-TMSMIM Mh. Masoud Ali Mohammed, akifungua kikao cha ushirikiano kati
ya Wajumbe wa jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania na Wajumbe wa Serikali za
Mitaa Zanzibar Ofisini kwake Vuga.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania Nd. Murshid Ngeze akizugumza
katika kikao cha ushirikiano kati ya Meya na Wakurugenzi wa Manispaa za Zanzibar
na Wajumbe wa Serikali za Mitaa Tanzania.
Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar, Nd. Mahmoud Mohammed Mussa akifunga kikao cha
ushirikiano kati Wajumbe wa Serikali za Mitaa Tanzania Bara na Zanzibar.
Ziara Ya Kutembelea Kazi Za Ujenzi Katika Kambi Nne Za KVZ
Maadhimisho ya siku ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya Duniani 26/6/2022
viwanja vya Mapinduzi Square Kisonge Zanzibar.
Maadhimisho ya siku ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya Duniani 26/6/2022
viwanja vya Mapinduzi Square Kisonge Zanzibar.
Maadhimisho ya siku ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya Duniani 26/6/2022
viwanja vya Mapinduzi Square Kisonge Zanzibar.
VIONGOZI WA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA
SMZ,WAKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA OFISI HIYO WAKATI WA MAFUNZO KUJENGA UWEZO WA
KUZITAMBUA KANUNI ZA UTUMISHI.
VIONGOZI WA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA
SMZ,WAKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA OFISI HIYO WAKATI WA MAFUNZO KUJENGA UWEZO WA
KUZITAMBUA KANUNI ZA UTUMISHI.
VIONGOZI WA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA
SMZ,WAKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA OFISI HIYO WAKATI WA MAFUNZO KUJENGA UWEZO WA
KUZITAMBUA KANUNI ZA UTUMISHI.
WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM
ZA SMZ, MH. MASOUD ALI MUHAMMED KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI NA WATENDAJI
WA BARAZA LA MJI KASKAZINI ‘A’ BAADA YA KUMALIZA KIKAO KAZI

Username *

Password *

Log in
* Forgot your password?
* Forgot your username?
* Don't have an account?

Ujumbe wa Waziri
#twoj_fragment1-1

Mnamo Tarehe 19, Novemba 2020 Mhe. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alitangaza Muundo wa Wizara pamoja na Baraza la
Mawaziri, ambapo alimteuwa Mheshimiwa Massoud Ali Mohammed (Mwakilishi wa
wananchi Jimbo la Ole) kuwa Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa,
Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ (OR-TMSMIM).

Muundo wa Afisi hii unajumuisha Afisi za Wakuu wa Mikoa, Afisi za Wakuu wa
Wilaya, Jiji,  Manispaa, Mabaraza ya Miji na Halmashauri.

Kadhalika Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii, Afisi ya Asasi na Jumuiya
zisizokuwa za Serikali (NGO's), Viwanda vya Idara Maalum za SMZ, pamoja na Idara
Maalum za SMZ ambazo ni:-

1. Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM).

2. Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKUZ).

3. Idara ya Chuo cha Mafunzo (MF).

4. Idara ya Zimamoto na Uokozi (KZU).

5. Idara ya Valantia (KVZ).

Aidha kwa mujibu wa ibara ya 123(1) Kamanda Mkuu wa Idara Maalum za SMZ ni Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Ambapo Waziri wa Nchi Afisi ya
Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ ndie msimamizi wa
Afisi inayosimamia Idara Maalum za SMZ.

Katika kutekeleza malengo ya uanzishwaji wa Wizara hii Afisi itahakikisha
misingi ya uwajibikaji, uwazi, ufanisi na kujitolea katika ngazi zote za uongozi
wa Wizara.

* Historia
* Dira
* Dhamira
* Majukumu

HISTORIA

Kabla ya Mapinduzi ya januari 1964, wananchi walikua hawashirikishwi katika
katika maamuzi kuhusu ustawi wa maendeleo yao. Mtiririko wa ngazi za utawala
ulikua ni wa kupokea amri na kusimamia utelezaji wa amri hizo ambazo huanzia
ngazi ya juu ya...

Soma Zaidi

Dira

Kuwa taasisi imara katika kusimamia amani, usalama, usajili wa wakaazi na
upatikanaji wa huduma karibu na wananchi.

Dhamira

Kujenga mazingira mazuri ya ushiriki wa wananchi katika kudumisha amani ulinzi
wa mali zao, kuimarisha huduma za kijamii, kuhakikisha kuwa jamii inashiriki
katika kupanga na kusimamia shughuli za maendeleo katika maeneo yao kwa
kuzingatia misingi ya utawala bora ikihusisha kuwatambua wakaazi wa maeneo
husika na utambulisho wao.

Majukumu

Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ ina majukumu makuu
yafuatayo:-

1. Kusimamia Sera, Sheria na Kanuni mbali mbali za Ofisi.
2. Kubuni na kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo

Soma zaidi

HABARI NA MATUKIO

* Ziara ya kukagua ujenzi wa Soko la Darajani linalotarajiwa kufunguliwa baada
ya wiki mbili

18 January 2023

* Ziara ya kukagua Jaa la muwekezaji linalokusanya taka za Hotelini katika eneo
la Matemwe Wilaya ya Kaskazini ‘A’

27 December 2022

* Ziara ya kuangalia na kukagua Maendeleo ya ujenzi wa Masoko ya Jumbi na
Chuini.

24 November 2022

* Uzinduzi wa kufungua mafunzo ya miezi sita ya ushoni kwa wafanyakazi wa
Kiwanda cha Idara Maalum za SMZ.

21 November 2022

MATANGAZO MAALUM

Hakuna tangazo kwasasa.

VIDEO

KURASA ZA KARIBU

Historia Fupi
* Dira Na Dhamira
* Huduma zinazotolewa
* Barua Pepe (GMS)
* Barua Pepe (Panel)

KURASA MUHIMU

Ikulu Zanzibar
* Ikulu Tanzania
* Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar
* Serikali Mtandao
* Tamisemi Tanzania

TOVUTI ZA TAASISI ZETU

* Mrajis NGO's Portal
* Mkoa Mjini Magharibi
* Mkoa Kaskazini Unguuja
* Kikosi maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM)
* Jeshi la Kujenga Uchumi (JKUZ)
* Viwanda Idara Maalum SMZ
* Wakala wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar

WASILIANA NASI

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

2277 Barabara ya Vuga,

S.L.P 4220,

70401 Mjini Magharibi,

Tel: +255242230034

Fax: +255242230034

Barua pepe: info@tamisemim.go.tz

WALIOTEMBELEA TOVUTI

3541108
Today

Yesterday

This Week

This Month

All days

242
864
3059
4552
3541108

Visitors Counter

Haki Miliki © 2023 ORTMSMIM. Haki zote zimehifadhiwa.
Goto Top