newweb.utumishismz.go.tz
Open in
urlscan Pro
102.223.7.56
Public Scan
Submitted URL: https://newweb.utumishismz.go.tz/
Effective URL: https://newweb.utumishismz.go.tz/home/
Submission: On June 02 via api from US — Scanned from DE
Effective URL: https://newweb.utumishismz.go.tz/home/
Submission: On June 02 via api from US — Scanned from DE
Form analysis
0 forms found in the DOMText Content
info@utumishismz.go.tz +255 777 123456 SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR OFISI YA RAIS KATIBA, SHERIA, UTUMISHI NA UTAWALA BORA OR-KSUUB * Mwanzo * Kuhusu sisi * Sisi ni Nani * Ujumbe wa Waziri * Muundo wa Wizara * Majukumu ya Wiza * Taasisi za Wizara * Miongozo na Matoleo * Matangazo * Habari * Picha * Wasiliana Nasi SHERIA Kwa upande wa Sekta ya Sheria imejumuisha taasisi sita zinazosimamia masuala ya Mahakama, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka, Tume ya Kurekebisha Sheria Ofisi ya Mufti, na Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana UTUMISHI Kwa upande wa Utumishi inajumuisha na taasisi sita Kamisheni ya Utumishi wa Umma, Tume ya Utumishi, Idara ya Mipango ya Rasilimali watu, Idara ya Miundo ya Taasisi, Utumishi na Maslahi ya Watumishi na Chuo cha Utawala wa Umma. UTAWALA BORA Kwa upande wa Utawala Bora, inajumuisha na taasisi nne, Idara ya Utawala Bora, Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar, Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. UTANGULIZI Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliunda upya Ofisi ya Rais – Utumishi wa Umma na Utawala Bora mnamo mwezi wa April, mwaka 2019 ikiwa kwa ajili ya kusimamia, kuimarisha na kukuza masuala ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar. Mara baada ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Awamu ya 8 kuingia madarakani mnamo tarehe 5 Novemba 2020 hatua mbalimbali zilichukuliwa ili kuwezesha utekelezaji mzuri wa majukumu ya Serikali kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025 na Dira ya Maendeleo ya 2050. Miongoni mwa hatua hizo zilizochukuliwa ni pamoja na kuanzishwa kwa Ofisi ya Rais – Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora kwa madhumuni ya Kuwa na Jamii inayoheshimu Misingi ya Utumishi, Haki, Usawa,Sheria, na Utawala Bora kwa Kuimarisha maendeleo ya Utumishi wa Umma, Kuweka Misingi ya Usawa, Sheria, upatikanaji wa Haki, kwa kuzingatia Utawala Bora ili kuweza kufikia lengo la Kuimarisha utendaji kazi katika Utumishi wa umma, kuratibu masuala ya Katiba, Sheria, na Utawala Bora na mahusiano ya kikanda na kimataifa. MIONGOZO -------------------------------------------------------------------------------- Ona Zaidi MATANGAZO -------------------------------------------------------------------------------- Ona Zaidi HABARI NA MATUKIO -------------------------------------------------------------------------------- MAWASILIANO Barabara ya Julius Nyerere, Mazizini, P. O Box 3356, Zanzibar. Tel: +255 024 2230038 / +255 024 2452294 Simu: +255 77000000 Fax: +255 024 2230027 / +255 024 2452291 Barua Pepe: info@utumishismz.go.tz. TOVUTI * Mahakama * Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi * Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu * Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana * Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka * Ofisi ya Mwanasheria Mkuu HUDUMA ZA WATUMISHI * Barua Pepe * Mfumo wa ZanAjira * Mfumo wa Rasilimali Watu * Mfumo wa msaada wa Kisheria * Mfumo wa e-Office MSAADA © Copyright OR-KSUUB. All Rights Reserved Designed by ICT Unit