hopeland.or.tz
Open in
urlscan Pro
67.223.118.23
Public Scan
URL:
https://hopeland.or.tz/
Submission: On November 28 via api from US — Scanned from US
Submission: On November 28 via api from US — Scanned from US
Form analysis
0 forms found in the DOMText Content
LIVE INSPIRED. DISCOVER YOU GREATNESS. BE A CHAMPION OF HOPE. 1. My Account (log in) 2. Contact Us 3. * Mwanzo * Kutuhusu Kutuhusu Sisi ni nani Tunafanya nini Kazi Maswali & Majibu * Shiriki Nasi Shiriki Nasi Kujitolea Kumtembelea Mtoto Saidia kizazi cha baadae Andika kwa mtoto * Maktaba Maktaba Magazines Vitabu na Brochures Ripoti za Matawi * Matukio Changia Watoto Wahitaji GUNDUA UKUU ULIO NDANI YAKO. Learn More KUWA CHANZO MATUMAINI Learn More FADHILI MTOTO LEO. Learn More ONYESHA UPENDO WAKO KWA WATOTO WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU Learn More GUNDUA UKUU ULIO NDANI YAKO. Learn More KUWA CHANZO MATUMAINI Learn More FADHILI MTOTO LEO. Learn More ONYESHA UPENDO WAKO KWA WATOTO WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU Learn More FADHILI MTOTO LEO Unapofadhiri mtoto, mnaunganishwa pamoja, atajua jina lako. Atafahamu kuwa unamjali na kumpenda. Kwa ufadhiri wako wa kiasi Tsh.14500/= kwa mwezi kinawezesha kubadilisha maisha yake na unampatia fursa zifuatazo * Kupata bima ya afya * Kuendelea na masomo yao bila hofu ya mahitaji ya shule * Kuhudhuria mipango ya kujenga na kufundisha kwa ajili ya uzazi bora Name: Location: Birth: Saidia Mtoto Angalia watoto zaidi wenye uhitaji. GUNDUA UKUU WAKO LEO -------------------------------------------------------------------------------- Denis ni kijana aliyeadhimia kurejesha tumaini la maisha kwa watoto na vijana wengi waliko kwenye nchi yake wanaoishi kwenye mazingira magumu. alianza jitihada za kutimiza ndoto yake pasipoa akiwa chini ya umri wa miaka 18. Hakuwa na ofisi, fedha hata rafiki zake hawakumwamini. Alianzisha Hopeland Community na kuanza kazi ya kutoa mafundisho yake kwa watoto Wasio na makazi maalumu jijini mwanza. Mwishoni mwa mwaka 2020 akiwa na timu yake walianzisha program ya MAISHA YANGU NDOTO YANGU wakiwa na lengo la kuwafundisha watu dhana halisi ya maisha itakayowasaidia kila mtu kugundua ukuu uliondani yake. Program hii iliwavutia watu wengi na Hopeland Community ilipoanzia kuaminika. Watu wote waliojifunza program ya maisha yangu ndoto yangu walitengeneza familiya ya mashujaa wa tumaini inayowasaidiwa watoto na vijana walionishi kwenye mazingira magumu. Hivi sasa Hopeland Community ni familiya ya mashujaa wa tumaini inayounganisha maelfu ya watu kutoka kila mahali kwa lengo la kuwasaidia watoto na vijana wanaishi kwenye mazingira magumu kupitia Ufadhiri wa mtoto. Jiunge nasi kurejesha tumaini la maisha * * * * * Ways to Give * Saidia Mtoto * Njia za kuchangia Quick Links * Kazi * Hopeland Community Library * Street Name * Igoma Mwanza - Tanzania * donate@hopelandcommunity.org © 2023 Hopeland Community. All Rights Reserved. +255 689 081 968 Hopeland Community, Inc. is a registered nonprofit organization. Hopeland Community strives to protect children from all forms of abuse.