tanroadstanzania.com Open in urlscan Pro
2606:4700:3037::ac43:c48b  Public Scan

URL: https://tanroadstanzania.com/
Submission: On January 01 via api from US — Scanned from US

Form analysis 0 forms found in the DOM

Text Content

 * 
 * 

Tuma Maombi ya Kazi
Ingia

TANROADS

KUHUSU TANROADS

Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) ilianzishwa tarehe 1 Julai, 2000 kwa agizo
lililochapishwa katika Gazeti la Serikali, Notisi namba 293 ya mwaka 2000 chini
ya Kifungu cha 3(1) cha Sheria ya Wakala za Utendaji namba 30 ya mwaka 1997, kwa
matarajio. ya kushuhudia uboreshaji mkubwa katika matengenezo na maendeleo ya
barabara kwa kuzingatia ubora, ufanisi na gharama nafuu. Wakala una jukumu la
kusimamia barabara zenye urefu wa Km 35,000 zenye urefu wa Km 12,786 za barabara
kuu na Km 22,214 za barabara za mikoa kwa mujibu wa Sheria ya Barabara namba 13
ya mwaka 2007 na baadaye uainishaji upya hadi Juni 2015.


 

MALENGO NA MIKAKATI YA WIZARA KWA MWAKA 2024

Kulingana na maswala muhimu yaliyaoainishwa ,wakala imeazimia malengo sita (6)
ya kutekelezwa

1.Uboreshaji wa Mtandao wa Barabara kuu na Barabara za mikoa.
2.Uboreshaji wa Usimamizi wa Rasilimaliwatu.
3.Uimarishaji Uwezo wa taasisi katika mifumo ya usimamizi.
4.Uboreshaji Usimamizi wa Fedha.
5.Upunguzaji wa Maambukizi ya VVU/Ukimwi na Uboreshaji huduma za msaada.
6.Uimarishaji na uendelezwaji wa mkakati wa kitaifa wa kupambana na rushwa.



Uboreshaji wa usimamizi wa Rasilimali watu.

Mikakati:

1.Uanzishaji mpango wa kuendeleza Rasilimali watu;
2.Uandaaji mahitaji ya ajira;
3.Uandaaji na Utekelezaji mpango wa mafunzo na maendeleo kwa watumishi;
4.Utekelezaji wa mfumo wa usimamizi wa utendaji na tathmini




TAARIFA YA AJIRA

Wizara ya ujenzi na uchukuzi na Halmashauri cya jiji la Mbeya yaweka wazi Jumla
ya nafasi 28674 za kazi kwa watanzania wenye vigezo tajwa katika mradi wa ujenzi
wa barabara jijini mbeya zinazotarajiwa kuchukua takribani km 420 kujengwa
katika sehemu ya 3,ikiwemo utanuzi wa barabara za njia nne kutoka Nsalaga
(Uyole) mpaka Ifisi (Kiwanja cha Ndege cha Songwe) yenye urefu wa kilometa 29,


 

SIFA/VIGEZO KWA AJILI YA AJIRA

Wizara inatoa fursa za ajira za muda mfupi zaidi ya 30,000 katika fani
mbalimbali kwa wananchi ambao wanakidhi vigezo vifuatavyo :-

 * Uwe na umri wa miaka 18 au zaidi.

 * Uwe na elimu ya kidato cha nne au zaidi mwenye kujua kusoma na kuandika kwa
   ufasaha.

 * Uwe mwenye afya njema na akili timamu.

 * Uwe na kitambulisho cha taifa

 * Uwe tayari kufanya kazi katika mazingira tofauti sawasawa na utakavyopangiwa.

Malipo ya ajira ya muda mfupi

Mgawanyiko wa malipo kwa siku ni kati ya 70,000 - 150000 kutokana na sifa za
muajiriwa. Muajiri atawajibika na malazi pamoja na usafiri katika eneo la kazi

   ZINGATIA

 * Malipo yote yatafanyika kupitia account ya bank ya muajiriwa.

 

 

Hitimisho

Ujenzi wa barabara za lami, meli katika ziwa Victoria, reli ya kisasa
(https://www.tanroadstanzania.com/logo.jpg) na uboreshaji wa viwanja vwa ndege
ni dhamira ya Serikali kuunganisha mikoa na nchi jirani kwa usafiri wa njia zote
hivyo ni vema kwa watanzania kujivunia miradi hiyo na kuonesha uzalendo kwa
kuitunza. Serikali inatambua umuhimu na manufaa ya kugawa fursa pindi
zinapojitokeza moja kwa moja kwa wananchi wake kwani ndio walengwa wa miradi na
inabidi wanufaike nayo.

 

Rejea juu

© 2024 TANROADS Tanzania