wytgroup.or.tz
Open in
urlscan Pro
192.185.129.4
Public Scan
URL:
https://wytgroup.or.tz/
Submission: On July 08 via api from US — Scanned from DE
Submission: On July 08 via api from US — Scanned from DE
Form analysis
3 forms found in the DOMPOST /
<form action="/" method="post">
<div class="mod-search input-append">
<input name="searchword" id="mod-search-searchword" maxlength="200" class="inputbox span2" type="text" size="20" value="Tafuta..." onblur="if (this.value=='') this.value='Tafuta...';" onfocus="if (this.value=='Tafuta...') this.value='';"><button
class="btn" type="button" onclick="this.form.searchword.focus();this.form.submit();">Tafuta</button> <input type="hidden" name="task" value="search">
<input type="hidden" name="option" value="com_search">
<input type="hidden" name="Itemid" value="0">
</div>
</form>
Name: formAcymailing88491 — POST /
<form id="formAcymailing88491" action="/" onsubmit="return submitacymailingform('optin','formAcymailing88491', 0)" method="post" name="formAcymailing88491">
<div class="acymailing_module_form">
<table class="acymailing_form">
<tbody>
<tr>
<td class="acyfield_email acy_requiredField">
<input id="user_email_formAcymailing88491" onfocus="if(this.value == 'Barua pepe') this.value = '';" onblur="if(this.value=='') this.value='Barua pepe';" class="inputbox" type="text" name="user[email]" style="width:94%" value="Barua pepe"
title="Barua pepe">
</td>
<td class="acysubbuttons">
<input class="button subbutton btn btn-primary" type="submit" value="Jiunge" name="Submit"
onclick="try{ return submitacymailingform('optin','formAcymailing88491', 0); }catch(err){alert('The form could not be submitted '+err);return false;}">
</td>
</tr>
</tbody>
</table>
<input type="hidden" name="ajax" value="0">
<input type="hidden" name="acy_source" value="module_95">
<input type="hidden" name="ctrl" value="sub">
<input type="hidden" name="task" value="notask">
<input type="hidden" name="redirect" value="https%3A%2F%2Fwytgroup.or.tz%2F">
<input type="hidden" name="redirectunsub" value="https%3A%2F%2Fwytgroup.or.tz%2F">
<input type="hidden" name="option" value="com_acymailing">
<input type="hidden" name="hiddenlists" value="1">
<input type="hidden" name="acyformname" value="formAcymailing88491">
</div>
</form>
POST //translate.googleapis.com/translate_voting?client=te
<form id="goog-gt-votingForm" action="//translate.googleapis.com/translate_voting?client=te" method="post" target="votingFrame" class="VIpgJd-yAWNEb-hvhgNd-aXYTce"><input type="text" name="sl" id="goog-gt-votingInputSrcLang"><input type="text"
name="tl" id="goog-gt-votingInputTrgLang"><input type="text" name="query" id="goog-gt-votingInputSrcText"><input type="text" name="gtrans" id="goog-gt-votingInputTrgText"><input type="text" name="vote" id="goog-gt-votingInputVote"></form>
Text Content
Powered by Google Übersetzer Swahili English Tafuta Maskani Tufahamu– Sisi ni Nani– Malengo ya Kikundi– Uongozi na Utawala– Wanakikundi wa WYT – Wadau wa Kikundi Huduma Miradi Yetu– Miradi ya Kikundi – Miradi ya Wanakikundi Maktaba– Katiba & Sheria– Mpango Mkakati– Taarifa za Robo Mwaka– Taarifa za Mwaka– Fomu za Mikopo Taarifa Elimu Mawasiliano * Maskani * Tufahamu * Sisi ni Nani * Malengo ya Kikundi * Uongozi na Utawala * Wanakikundi wa WYT * Wadau wa Kikundi * Huduma * Miradi Yetu * Miradi ya Kikundi * Miradi ya Wanakikundi * Maktaba * Katiba & Sheria * Mpango Mkakati * Taarifa za Robo Mwaka * Taarifa za Mwaka * Fomu za Mikopo * Taarifa * Elimu * Mawasiliano * * * * UJUMBE KUTOKA KWA MWENYEKITI > Nawasalimu wote kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo!!. > > Kikundi chetu kinaendelea kukua na kustawi, huu ni mchango wa kila mmoja wetu > katika kukiendeleza kikundi chetu kupitia maombi, michango, mikopo na mali > zetu ili kufikia malengo yetu tuliyojiwekea. > > Sisi kama viongozi wa kikundi tunawajibu wa kusimamia yale mnayo tutaka > kuyafanya. Kwa maneno hayo niwaombe ndugu zangu wana WYT kusoma na kupitia > miongozo ya kikundi zikiwemo sheria na kanuni mara kwa mara kujikumbusha > lakini pia kuweka mikakati binafsi katika utekelezaji. > > Uongozi tumejipanga kusimamia mambo matano kwa ufanisi zaidi > > 1. Kuhakikisha usalama wa fedha na mali za kikundi > 2. Kusimamia sheria na kanuni tulizojiwekea > 3. Kuusimamia mpango mkakati wetu wa miaka mitano kama ipasavyo > 4. Utoaji wa mikopo kwa wakati na kwa ukamilifu > 5. Kuendelea kuhamasisha utoaji wa michango kwa wakati na kufanya marejesho > kwa mujibu wa kanuni na sheria zetu. > > Kwa hayo nawatakia utafutaji mwema na uwekezaji mwema wana WYT wenzetu, > tuendelee kupendana na kusaidiana pale mwenzetu anapokwama, kwa sehemu kubwa > majukumu mengi na makubwa yapo mabegani mwetu hatuna Mjomba wakulinda tunu za > WYT. > > Ahsanteni > > > > Edson Rwambogo HUDUMA ZETU * Ununuzi wa Hisa * Akiba ya Hiari * Huduma ya Mikopo * Uwekezaji katika Shughuli za Kujiingizia Kipato (IGAs), * Mafunzo Mbalimbali * Ushauri Elekezaji wa Masuala ya Maendeleo DIRA YETU (VISION) Kikundi cha kijamii kinachoongoza nchini kwa kuchochea kikamilifu ustawi wa maendeleo ya wanakikundi na jamii DHAMIRA YETU (MISSION) Kuwa kikundi cha kijamii kinachoendeshwa kitaalamu kwa kuzingatia na kukuza ustawi wa wanakikundi, familia zao na jamii kwa kuwajengea mifumo imara ili kujitegemea kiuchumi, kiroho na kijamii TAARIFA ZA KARIBUNI * Mkutano wa Kikundi kwa njia ya Mtandao Sunday, 29 May 2022 19:13 Kikundi cha WYT kimefanikiwa kwa mara nyingine kufanya Mkutano wake wa Robo ya Kwanza ya Mwaka 2022 kwa njia ya Mtandao kwa ufanisi mkubwa mnamo tarehe 23/04/2022. Huu umekuwa ni mkutano wa tatu... * Sunday, 29 May 2022 18:32 RATIBA YA MIKUTANO YA KIKUNDI CHA WYT KWA MWAKA 2022 * Saturday, 16 April 2022 05:08 Toleo jipya la Katiba ya Kikundi cha WYT, 2022 More in Taarifa 1 Idadi ya Miradi 30 Idadi ya Wanachama 6 Idadi ya Huduma 7 Idadi ya Wadau RAMANI YA TANZANIA NA MIKOA WANAYOISHI WANAKIKUNDI MAENEO WANAYOTOKA WANAKIKUNDI WA WYT Wanakikundi wa WYT wanatoka katika mikoa mbalimbali katika nchi yetu ya Tanzania. Kwetu sisi umbali anaotoka mwanachama si tatizo kutokana na mifumo imara ya uendeshwaji wa kikundi iliyowekwa pamoja na matumizi ya TEHAMA. Kwasasa tuna wanachama katika mikoa ya Mara (23), Mwanza (3), Dodoma (1), Mbeya (1), Simiyu (1) na Shinyanga (1). YALIYOJIRI HIVI KARIBUNI 10 Mwezi wa 3,, 2020 526 ... Merken By Super User | In Matukio BISHOP Moja ya nyakati za furaha kwa baadhi ya wanakikundi kumtembelea aliyekuwa... Read more 02 Mwezi wa 4,, 2020 303 ... Merken By admin | In Matukio MWANAKIKUNDI JUSTINE JUMANNE AKIFURAHIA... Read more 02 Mwezi wa 4,, 2020 342 ... Merken By admin | In Matukio ZIARA YA MAPUMZIKO YA WANAKIKUNDI... Read more 02 Mwezi wa 4,, 2020 276 ... Merken By admin | In Matukio BAADHI YA WANAKIKUNDI WA WYT BAADA... Read more 27 Mwezi wa 2,, 2020 331 ... Merken By Super User | In Matukio MSAADA KWA JAMII Read more 27 Mwezi wa 2,, 2020 231 ... Merken By Super User | In Matukio MKUTANO WA WADAU Read more 27 Mwezi wa 2,, 2020 1203 ... Merken By Super User | In Matukio WASHIRIKI WETU Read more 10 Mwezi wa 3,, 2020 526 ... Merken By Super User | In Matukio BISHOP Moja ya nyakati za furaha kwa baadhi ya wanakikundi kumtembelea aliyekuwa... Read more 02 Mwezi wa 4,, 2020 303 ... Merken By admin | In Matukio MWANAKIKUNDI JUSTINE JUMANNE AKIFURAHIA... Read more 02 Mwezi wa 4,, 2020 342 ... Merken By admin | In Matukio ZIARA YA MAPUMZIKO YA WANAKIKUNDI... Read more 02 Mwezi wa 4,, 2020 276 ... Merken By admin | In Matukio BAADHI YA WANAKIKUNDI WA WYT BAADA... Read more 27 Mwezi wa 2,, 2020 331 ... Merken By Super User | In Matukio MSAADA KWA JAMII Read more 27 Mwezi wa 2,, 2020 231 ... Merken By Super User | In Matukio MKUTANO WA WADAU Read more 27 Mwezi wa 2,, 2020 1203 ... Merken By Super User | In Matukio WASHIRIKI WETU Read more 10 Mwezi wa 3,, 2020 526 ... Merken By Super User | In Matukio BISHOP Moja ya nyakati za furaha kwa baadhi ya wanakikundi kumtembelea aliyekuwa... Read more prev next WALK YOUR TALK GROUP Lengo kuu la kuanzishwa kwa kikundi hiki lilikuwa ni kuwasaidia wanakikundi kuboresha Maisha yao kupitia kuanzisha mfumo wa kununua Hisa na kukopeshana na kusaidiana katika mambo mbalimbali ya kijamii. soma zaidi... MAWASILIANO Musoma, Mara P.O.BOX: 605, +255 747 599 825 info@wytgroup.or.tz VIUNGANISHI MUHIMU * Tufahamu * Huduma * Maktaba * Taarifa * Mawasiliano Jisajili Kupata Taarifa Copyright © Walk Your Talk Group. All Rights Reserved.Designed by microsafi.com | Webmail Originaltext Diese Übersetzung bewerten Mit deinem Feedback können wir Google Übersetzer weiter verbessern