madini.go.tz
Open in
urlscan Pro
196.192.79.208
Public Scan
Submitted URL: http://madini.go.tz/
Effective URL: https://madini.go.tz/
Submission: On December 03 via manual from CZ — Scanned from DE
Effective URL: https://madini.go.tz/
Submission: On December 03 via manual from CZ — Scanned from DE
Form analysis
0 forms found in the DOMText Content
* Home * Contact Us * Projects * Ongoing * Complete * -------------------------------------------------------------------------------- * Proposed * Minerals Maps * Geochemical Surveys * Geological Mapping * Geophysical Surveys * Opportunities * Vacancy * Tenders * -------------------------------------------------------------------------------- * Training * Multimedia * Speech * Latest News * Upcoming Events * Latest Updates * Press Release * Public Notes * Downloads * Tv & Radio Programs * -------------------------------------------------------------------------------- * Photo Gallery * Video Gallery * About Us * Complains * Comments * Minerals Data * "Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu" Ushiriki wa Tanzania katika Maonesho ya 68 ya Vito na Usonara katika jiji la Bangkok nchini Thailand umewavutia Wafanyabiashara mbalimbali wa madini kutokana na wengi kutumia malighafi za madini kutoka nchini. Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akiwa katika mradi wa Kabanga Nikeli katika ziara iliyolenga kukagua hatua iliyofikiwa katika uendelezaji wa mradi huo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua Kiwanda cha Kusafisha Madini ya Dhahabu cha Geita (Geita Gold Refinery) Mkoani Geita Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani geita kabla ya kuzindua Kiwanda cha Kusafisha Madini ya Dhahabu cha Geita (Geita Gold Refinery) Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Migodi wa India Mhe. Pralhad Joshi pamoja na wakufunzi kutoka Kituo cja Jemolojia Tanzania (TGC) katika ziara yake nchini India Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akiwa na Wafanyakazi wa Wizara ya Madini kwenye Baraza la Wafanyakazi lililofanyika Mkoani Morogoro Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango (Kulia) na Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko (Kushoto) wakitembelea mabanda ya Maonesho katika Ufunguzi wa Mkutano Februari 22, 2022 Jijini Dar es salaam Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa akishuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano Makaa ya Mawe Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa akiwa katika mgodi wa kati wa Shanta unaotarajiwa kuanza uchimbaji wa madini ya dhahabu Mwaka 2023 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Jijini Dar es salaam ramani Mpya ya Tanzania Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya TEITI Ludovick Utouh Sheria ya Uwazi na Uwajibukaji katika Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asilia Waziri wa Madini akizungumza katika Mahafali ya Kwanza ya Stashahada ya Teknolojia ya Madini ya Vito na Usonara iliyofanyika katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) Waziri wa Madini akizungumza katika Mahafali ya Kwanza ya Stashahada ya Teknolojia ya Madini ya Vito na Usonara iliyofanyika katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) Waziri wa Madini akiwatunuku Vyeti Wahitimu wa Stashahada ya Teknolojia ya Madini ya Vito na Usonara iliyofanyika katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) Wahitimu wa Stashahada ya kwanza ya Teknolojia ya Madini ya Vito na Usonara katika Kituo cha Jemolojia Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akishuhudia Utiaji Saini wa Mikataba Mitatu ya Madini Ikulu Chamwino Jijini Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali akikabidhiwa Kitabu na Balozi wa India nchini Tanzania Binaya Pradhan katika kikao cha kujadiliana kushirikiana kuendeleza maeneo ya utafiti katika madini ya Kimkakati. Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wakuu wa Wizara hiyo pamoja na viongozi wa Kampuni ya Tembo Nikel mara baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha Bajeti ya wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2023/24 jijini Dodoma Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe. Tri Yogo Jatmiko na ujumbe wake kuhusu kuwekeza katika shughuli za uchimbaji walipokutana jijini Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitembelea mabanda wakati akifungua Kongamano la Wachimbaji Wadogo wa Madini na Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo Tanzania (FEMATA) Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akikagua Maendeleo ya Mgodi wa Kitalu C uliopo ndani ya Ukuta unaozunguka migodi ya Tanzanite Mirerani Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Taasisi zake na Wadau wa Sekta ya Madini imeibuka Mshindi Namba 1 katika kipengele cha Nishati na Madini kwenye kilele cha Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Sabasaba ( Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi tuzo ya Wizara iliyopokelewa na Mjiolojia Neema Masinde) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dr. Venance Bahati Mwasse na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Madini ya PT Mineral Industri Indonesia (PERSERO) Dany Amrul Ichdan Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023. Salamu za Pongezi kwa Mhe. Dkt. Doto Biteko Salamu za Pongezi kwa Mhe. Anthony Mavunde Previous Next Hon. Anthony P. Mavunde(MP) Minister Of Minerals Biography Hon. Dr. Steven L. Kiruswa(MP) Deputy Minister Of Minerals Biography Eng. Yahya I. Samamba Permanent Secretary Ministry Of Minerals Biography Mr. Msafiri L. Mbibo Deputy Permanent Secretary Ministry Of Minerals Biography Latest News Miaka mitatu ya Rais Dkt. Samia madarakani ongezeko la makusanyo Madini yapa TANZANIA UNVEILS THE 2024 MINING INVESTMENT CONFERENCE: EXPLORING VALUE ADDITIO… TANZANIA YAANZA MAANDALIZI YA MKUTANO WA 6 WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI KATIKA SEK… Mavunde: Fanyeni mazoezi kuepuka magonjwa yasiyoambukiza * Latest Updates * Documents * Systems & Links * Related Links * Useful Links WATUMISHI WIZARA YA MADINI WATAKIWA KUT… Watumishi wa wizara ya Madini wametakiwa kuwa vinara wa kutangaza mikakati ya w… Read More UJUMBE KUTOKA BURKINA FASO WATEMBELEA STAMICO Ujumbe kutoka Burkina Faso umetembelea Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na kufanya Kikao kazi ili kujifunza kuhusu sekta ya madini,leo Novemb… by: madini on: Nov. 22, 2024, 6:55 p.m. NAIBU SPIKA MGENI ASISITIZA UJENZI WA VIWANDA VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Mgeni Hassan Juma, amesema kuwa kama ili kufikia azma ya kuwa kitovu cha madini barani Afrika ni … by: madini on: Nov. 21, 2024, 10:45 p.m. GEITA GOLD MINE, TWIGA BARRICK WATAWALA TUZO USIKU WA MADINI 2024 Kampuni za Madini za Geita Gold Mine Limited na Twiga Minerals Corporation zimetawala katika tuzo maalum za Usiku wa Madini kwa kufanya vizuri katik… by: madini on: Nov. 21, 2024, 10:43 p.m. More Updates The Mining Act 1979 The Mining Act 1998 The Mining Act 2010 Mineral Policy of Tanzania 2009 The Written Laws (Miscellaneous Amendments) No.2 Act, 2019 The Explosive Act, 1963 The Explosive Regulation, 1964 The Mining (Mineral Rights) (Amendment) Regulations, 2020 The Mining (Local Content) Regulations, 2018 The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2017 View More Documents Salary Slip Portal Government Mailing System Travel Permit System eOffice Tanzania Mining Cadastre Portal Tanzania Mining conference UONGEZAJI THAMANI MADINI Matumizi Salama ya Baruti Ushirikishwaji wa Watanzania katika Rasilimali Madini na Wajibu wa Kampuni kwa Jamii SCR WIZARA YA MADINI MGAWANYO WA MAJUKUMU Mining Commission Ministry of Energy Mineral Resources Institute (MRI) ICGLR Geological Survey of Tanzania (GST) State Mining Corporation (STAMICO) Tanzania Gemological Center (TGC) Tanzania Extractive Industries Transparency Initiative (TEITI) Government Portal Tanzania Investment Centre (TIC) Public Service Management President’s Official Website The Office of Attorney General Bunge la Tanzania BRELA Ministry of Minerals News Bulletin Ministry of Minerals Media Briefs OUR LEADERS' QUOTES > "Tumekubaliana kwamba kwa rasilimali zilizopo hapa nchini ziwe za Mazao ama > Madini lazima yaongezwe thamani hapa hapa Nchini na ndio maana wawekezaji > wanapanua viwanda ili waongeze thamani hapa nchini," Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan in Kitengo cha Mawasiliano Serikalini > "Uhai wa mtu mmoja ni muhimu kuliko uwepo wa mgodi, uhai wa mtu unathamani > kubwa kuliko mgodi wenyewe, uchimbaji salama inapaswa kuwa ajenda katika > shughuli zote za uchimbaji madini nchini" Waziri wa Madini, Doto Biteko in Kitengo cha Mawasiliano Serikalini > "Uhai wa mtu mmoja ni muhimu kuliko uwepo wa mgodi, uhai wa mtu unathamani > kubwa kuliko mgodi wenyewe, uchimbaji salama inapaswa kuwa ajenda katika > shughuli zote za uchimbaji wa madini nchini" Waziri wa Madini, Doto Biteko in Kitengo cha Mawasiliano SER > “Sekta ya madini haijatumiwa vizuri na mabenki ninawakaribisha kwenye sekta > hii . Pale Arusha ndo mji pekee wa Ukataji Madini ya Vito. Mwende mkaliangalie > hili” Katibu Mkuu, Prof. Simon Msanjila in Full Shangwe Blog > “Vitu vya kufanya ni vingi mno, mbadili mfumo wa kutekeleza majukumu yenu na > kila mmoja wenu awe na uelewa wa nini anakwenda kutekeleza kwa siku husika > uwapo kazini” Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Doto Biteko in Dira Makini > “Tanzanite ni madini ambayo Mungu ameipendelea Tanzania lakini sasa hivi nchi > mbalimbali ukienda utayakuta. Hili ni zao pekee la madini tunaloweza kujivunia > kama watanzania.” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan in Mwananchi, June 13, 2021 > "Kupitia Ushirikiano uliopo Tanzania Itaendelea Kuchochea Ujenzi wa Viwanda na > pia Kuiwezesha Nchi yetu Kunufaika Vyema na Fursa za Kibiashara, Ikiwemo > Kupitia Itifaki Mbalimbali kama Vile EAC, SADC, Eneo Huru la Biashara la > Afrika" Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan in SADC-Msumbiji, June 23, 2021 > Tozo Zaidi ya 200 Zimefutwa katika Kipindi cha Siku 100 za Uongozi wa Mhe. > Rais Samia Suluhu Hassan, Uwezeshaji Sekta Binafsi Kupitia Ushirikishwaji > katika Miradi Mikubwa ni Kipaumbele cha Serikali ya Awamu ya Sita kwa Sasa. Bi. Angelina Ngaluma in TV Channel > "Wizara ya Madini ishirikiane na vyama na mashirikisho ya wachimbaji na > wafanyabiashara wa madini kuandaa mpango kazi mahsusi kwa ajili ya utekelezaji > wa majukumu ya soko hili ili lisigeuke kuwa kikwazo kipya kwa wachimbaji na > wafanyabishara wa madini" Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa in dar24.com VIDEOS GALLERY PHOTO GALLERY OUR MINERALS Diamond Tanzanite Gold Silver Nickel Graphite Ruby Spinel Saphire Tsavorite Tungsten Cobalt CONTACT US Permanent Secretary, Ministry of Minerals, Madini Street, Government City, Mtumba P. O. Box 422, Dodoma, Tanzania Email: ps@madini.go.tz RELATED LINKS Mining Commission Ministry of Energy Mineral Resources Institute ICGLR Geological Survey of Tanzania Tanzania Gemological Center USEFUL LINKS Government Portal Tanzania Investment Centre Public Service Management President’s Official Website The Office of Attorney General Bunge la Tanzania BRELA VISITORS COUNTER Today Visitors: 756 Yesterday Visitors: 804 All Visitors: 1420724 Online Visitors: 3 Copyright©2021 Ministry of Minerals