samiafashionfestival.tz
Open in
urlscan Pro
41.59.225.50
Public Scan
Submitted URL: http://samiafashionfestival.tz/
Effective URL: https://samiafashionfestival.tz/
Submission: On November 17 via api from LU — Scanned from DE
Effective URL: https://samiafashionfestival.tz/
Submission: On November 17 via api from LU — Scanned from DE
Form analysis
0 forms found in the DOMText Content
* Ubunifu na Stara S a m i a F a s h i o n F e s t i v a l Ni jukwaa la kuonyesha ubunifu wa Kitanzania na ni heshima kwa uongozi na maono ya Mama Samia Suluhu Hassan. * Ubunifu na Stara Samia Fashion Festival Ni jukwaa la kuonyesha ubunifu wa Kitanzania na ni heshima kwa uongozi na maono ya Mama Samia Suluhu Hassan. Ubunifu na Stara KWANINI SAMIA FASHION FESTIVAL? Tamasha hili limepewa jina kwa heshima ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na limelenga kukuza utamaduni wa Tanzania kupitia mavazi huku likionyesha mchango mkubwa wa Rais Samia katika kuikuza sekta ya sanaa,ubunifu na mavazi. Tamasha hili litaendeshwa kwa muda wa siku saba, likijumuisha matukio mbalimbali ya kuwawezesha wanawake, watoto, na vijana kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kushiriki. Kauli mbiu ya tamasha hili ni “Ubunifu na Stara” ambayo inaakisi taswira ya nafasi na haiba ya mama yetu mpendwa Dkt.Samia Suluhu Hassan, na namna jamii inaweza kutumia haiba hiyo yenye stara katika nyanja mbali mbali za kijamii, kama vile mitoko, sherehe, shughuli za jioni na haswa ikiweka msisitizo katika malezi na utamaduni wa Tanzania. Unahitaji kudhamini shughuli hii? * 0 * 1 * 2 * 3 * 4 * 5 * 6 * 7 * 8 * 9 * 0 * 1 * 2 * 3 * 4 * 5 * 6 * 7 * 8 * 9 * 0 * 1 * 2 * 3 * 4 * 5 * 6 * 7 * 8 * 9 * 0 * 1 * 2 * 3 * 4 * 5 * 6 * 7 * 8 * 9 Wanamitindo Wote * 0 * 1 * 2 * 3 * 4 * 5 * 6 * 7 * 8 * 9 * 0 * 1 * 2 * 3 * 4 * 5 * 6 * 7 * 8 * 9 * 0 * 1 * 2 * 3 * 4 * 5 * 6 * 7 * 8 * 9 * 0 * 1 * 2 * 3 * 4 * 5 * 6 * 7 * 8 * 9 Wanamitindo Bara * 0 * 1 * 2 * 3 * 4 * 5 * 6 * 7 * 8 * 9 * 0 * 1 * 2 * 3 * 4 * 5 * 6 * 7 * 8 * 9 * 0 * 1 * 2 * 3 * 4 * 5 * 6 * 7 * 8 * 9 * 0 * 1 * 2 * 3 * 4 * 5 * 6 * 7 * 8 * 9 Wanamitindo Zanzibar Ubunifu na Stara SHUGHULI ZA TUKIO Siku ya Vipaji vya Mavazi Vinavyochipukia Rising Fashion Icons Tazama Zaidi Usaili wa Warembo Registration Tazama zaidi Siku ya Zanzibar Zanzibar Day Tazama zaidi Tukio Kuu la Tamasha Grand Finale Tazama zaidi Jisajili kama mwanamitindo hapa Wadhamini na faida zao MAKUNDI YA UDHAMINI GRAPHITE * Nafasi ya matangazo (Kwenye moja ya tukio) * Kutajwa na MC kwenye tukio kuu * Siti mbili za VIP * Nafasi moja ya kupiga kura TSH. 5M Kiasi cha chini cha kudhamini Dhamini Maarufu TANZANITE * Nafasi ya matangazo (Wakati na Baada ya matukio) * Nafasi ya kuzungumza kwenye Tukio kuu * Meza moja ya VIP * Nafasi moja ya kupiga kura TSH. 15M Kiasi cha chini cha kudhamini Dhamini GOLD * Nafasi ya matangazo (Wakati wa matukio) * Kutoa zawadi * Meza moja ya VIP * Nafasi moja ya kupiga kura TSH. 10M Kiasi cha chini cha kudhamini Dhamini Ni Jukwaa pekee la ubunifu na stara. * * * * Samia Fashion Festival Tamasha hili limepewa jina kwa heshima ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na limelenga kukuza utamaduni wa Tanzania kupitia mavazi huku likionyesha mchango mkubwa wa Rais Samia katika kuikuza sekta ya sanaa,ubunifu na mavazi. Kauli mbiu ya tamasha hili ni “Ubunifu na Stara” ambayo inaakisi taswira ya nafasi na haiba ya mama yetu mpendwa Dkt.Samia Suluhu Hassan, na namna jamii inaweza kutumia haiba hiyo yenye stara katika nyanja mbali mbali za kijamii, kama vile mitoko, sherehe, shughuli za jioni na haswa ikiweka msisitizo katika malezi na utamaduni wa Tanzania. © 2024 Samia Fashion Festival Scroll